This content is protected.

Kuzaa watoto wengi unapunguza saratani

Share this

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road Dkt Mwaiselage amesema Mkoa wa DSM unaongoza kwa Saratani ya Matiti kutokana na Wanawake kuwa na uzito mkubwa na Watoto wachache “ukiwa na watoto wengi wanasaidia kunyonya maziwa ya Mama na kupunguza chembechembe za Saratani”

Kevin Spahlet

Read Previous

Omtatah Takes President Uhuru to Court over Finance Act, 2019

Read Next

Moses Kuria :Gathoni wa Muchomba’s smell of undergarments!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *